willzkichaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 422
- 191
Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages iliyoigiziwa huko marekani. Kiukweli im very disappointed. Serie ya kipumbavu na haina maana. Haiwezekani serie inaisha alafu hakuna muafaka wa matukio. Yaani mtazamaji huridhiki hata tone. Nasisitiza usijaribu kununua/kupakua huu uchafu. Mbona Davinchi demons, merlin, chaos, missing, merlin, originals, 24, once upon a time, atlantis na true blood zinaeleweka na zinaridhisha? Sijapendezwa na hii. What a waste!
Nashukuru kwa tahadhari, nlikuwa nnampango wa kuitafuta.
Mkuu ingawa sijaiangalia hii lakini issue ya series ipo hivi..Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages iliyoigiziwa huko marekani. Kiukweli im very disappointed. Serie ya kipumbavu na haina maana. Haiwezekani serie inaisha alafu hakuna muafaka wa matukio. Yaani mtazamaji huridhiki hata tone. Nasisitiza usijaribu kununua/kupakua huu uchafu. Mbona Davinchi demons, merlin, chaos, missing, merlin, originals, 24, once upon a time, atlantis na true blood zinaeleweka na zinaridhisha? Sijapendezwa na hii. What a waste!
Labda bado hujamaliza series zote!
Mkuu ingawa sijaiangalia hii lakini issue ya series ipo hivi..
Mtunzi / Creators wanapeleka pilot kwenye TV stations ambapo wanapewa order/fungu la pesa labda watengeneze episodes kadhaa za kuweza kuonyeshwa mwaka mzima (season) sasa kwa mfano series ikipendwa sana watu wengi wakiangalia wanapewa order zaidi na zaidi (hapo ndio unakuta series nzuri mwanzo zinaanza kuboa au kukosa muelekeo sababu ya creators wanataka kutengeneza pesa as much as possible (mfano Lost na Heroes) au kwa mfano series ikianza kudorora wanaambiwa labda tunawapa extra season ya mwisho malizieni hii story (ndio hapo unakuta story inamalizwa haraka haraka bila kujibu baadhi ya maswali (mfano, Lost, Fringe n.k.)
Au mbaya kabisa series ambayo bila kuambiwa kabla ili wa-finalize series yao inakuwa cancelled either sababu ya following ndogo au sababu moja au nyingine (ndio hapo hata kama series ilikuwa nzuri inakwisha with a lot of unanswered questions)
Lakini kuna series ambazo zinaamua kumaliza story zenyewe bila kushurutishwa.., hapo ndio story inaisha vizuri bila kuvutwa sana mpaka ikaboa au kukatwa kabla ya mwisho wake, mfano 24, breaking bad, merlin, burn notice, n.k. hizo nyingine ulizotaja unaweza ukasema ni nzuri sasa hivi ila sababu bado zinaendelea hatujui..., huenda zikaboa baadae kama Lost na Heroes au huenda zikakatishwa kabla ya wakati wake
Hio ni min series ...ambayo imeshindanishwa kwnye tunzo
mbili.
Hadi kuwekwa kwenye vipengele ujue ni series nzuri.
Yawezekana baada ya kuliona jinahostages
Ukajua ni magaidi kwa saaaana.
Mie nawashauri waicheck halaf ndo waamue kuliko kuwaamulia...
Kuna watu hapendi series ndefu.
Nadhan hii itakua ni nzuri kwao
What questions ?Season 9 ya 24 waliyoipa jina la "Live another day" itakayokua na episode 12 itaanza kuruka hewani kuanzia 5th May, huenda ikajibu all the pending Questions.
Mkuu ingawa sijaiangalia hii lakini issue ya series ipo hivi..
Mtunzi / Creators wanapeleka pilot kwenye TV stations ambapo wanapewa order/fungu la pesa labda watengeneze episodes kadhaa za kuweza kuonyeshwa mwaka mzima (season) sasa kwa mfano series ikipendwa sana watu wengi wakiangalia wanapewa order zaidi na zaidi (hapo ndio unakuta series nzuri mwanzo zinaanza kuboa au kukosa muelekeo sababu ya creators wanataka kutengeneza pesa as much as possible (mfano Lost na Heroes) au kwa mfano series ikianza kudorora wanaambiwa labda tunawapa extra season ya mwisho malizieni hii story (ndio hapo unakuta story inamalizwa haraka haraka bila kujibu baadhi ya maswali (mfano, Lost, Fringe n.k.)
Au mbaya kabisa series ambayo bila kuambiwa kabla ili wa-finalize series yao inakuwa cancelled either sababu ya following ndogo au sababu moja au nyingine (ndio hapo hata kama series ilikuwa nzuri inakwisha with a lot of unanswered questions)
Lakini kuna series ambazo zinaamua kumaliza story zenyewe bila kushurutishwa.., hapo ndio story inaisha vizuri bila kuvutwa sana mpaka ikaboa au kukatwa kabla ya mwisho wake, mfano 24, breaking bad, merlin, burn notice, n.k. hizo nyingine ulizotaja unaweza ukasema ni nzuri sasa hivi ila sababu bado zinaendelea hatujui..., huenda zikaboa baadae kama Lost na Heroes au huenda zikakatishwa kabla ya wakati wake
Ndio hivyo mkuu sometimes inabidi creators wawe wakali kama kwenye Prison Break; Breaking Bad au hata Merlin (yaani waamue wenyewe kwamba tunamaliza series baada ya episodes kadhaa.., mara nyingi series ikiwa kali sana creators wanaongeza ongeza vijistory ili iendelee na kuendelea mwisho wake wanapoteza muelekeo, au wengine labda wanapanga story iwe ndefu kiasi fulani lakini kutokuwa kwake popular wanajikuta inakuwa cancelled kabla story haijaisha au wanaambia season hii inabidi mmalize series (ndipo hapo unajikuta series inakatishwa bila kujibu maswali mengi au wanayajibu kwa wepesi wepesi)da mkuu hii ni kweli naangalia lost nmeiona nzuri na yakusisimua mpaka season ya nne lakini hizo mbili hasa ya sita zinaboa na zinanipa shida sana kuelewa nimeacha kuangalia episode ya tatu s6
nashukuru sana mkuu kwa taarifa maana ndo nilishapakua episode moja ila sikuingalia, leo ndo nimeiangalia imefikia wapi naambiwa imeishaia season nikataka niipakue hivyo hivyo labda nzuri lakini kwa maneno yako hapa, nafut hata ile e1
Kuna hii ya Revolution vp kwa yeyote aliyeangalia vp nzuri..... Sijaiona ila nmeisoma kwenye net tu........