Kupika unajua au unapenda kula tu?
Lizzy karibu kwangu hiyo menu inahusika sana leo. Napenda sana chapati. Si asubuhi, mchana ama jioni. I just love them!
tangu lini ukajua kula chapati mbara wewe?Kupika sijui. Napenda kuzila tu. Chapati tamu sana.
tangu lini ukajua kula chapati mbara wewe?
kisha muulize Lizzy kuhusu mapishi ya chapati kama anayaweza kweli au anapiga talalalila tu hapa maana ni shughuli pevu yahitaji olive oil ili mapishi yawe muruwa.

chapati zipi?
Mie nataka mkate wa kumimina
nikipata na chai ya mchaichai ya maziwa
natoa mkeka varandan
chakula kifunikwe kwa kawa lenye urembo
mlaji avae msuli na fulana
rahisi kwa kupitisha hewa
ale huku nikimpepea
na vicheko vikiendelea
mkate wa kumimina kiboko.
Chai ya mchai chai tu ngoja nikakupikie. . .mkate ntakununulia.
kweli nipikie jamani.
Akipatikana kuku wa kienyeji rost itakuwa bonus.
Inakuja sasa hivi Konnie. . .
Alafu hivi mjini (Dar, Atown, sijui na wapi wapi) unaweza ukapata mchai chai? Alafu kuku wa kienyeji. . . .dah lazima kesho nile maini ya kuku.