Napenda nikitongoza demu anitukane.

long live my love

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,083
Reaction score
1,037
Heshima kwenu wakuu
Naombeni ushauri, najisikia raha sana km nikimdate demu anijibu matusi na kwa nyodo. Naweza kuwa nina tatizo?
 
Nasikitika kuwa siku hizi hawatukani wakitongozwa siku hiz wanatabasamu hata kama anakukatalia tena kwa jicho zuri la karibu tena ila ndo anakuwa amekataa asilimia mia sasa si utapata shida sana ndugu yangu
 
Heshima kwenu wakuu
Naombeni ushauri, najisikia raha sana km nikimdate demu anijibu matusi na kwa nyodo. Naweza kuwa nina tatizo?

Kwa mimi hicho ndicho kipimo kama kweli najua kutongoza huyo aliyenitukana nitahakikisha na mpata halafu nikimpata namuuliza matusi yalikua ya nini?mbona umenipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…