Napenda kwanza kumuona yesu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,864
Reaction score
60,859
Inapendeza kuona mji wa dhahabu makao ametuandalia/
Lakini ikifunguliwa milango humo napenda kwanza kumuona yesu/
Ooh napenda/
Napenda kwanza kumuona yesu na sura yake ya ajabu kuu/


Mbinguni katikati ya watakatifu napenda kwanza kumuona yesu/
Itapendeza kuona wake kwa waume ambao wamesimama imara/
Lakini ikifunguliwa milango humo napenda kwanza kumuona yesu/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…