Hah hah Awalaani wote .... Hapana anachofanya ni ....
Yuko Europe!!
Source; Le Mutuz...
Kijana Nape, angalau wape pongezi Wabunge mashujaa sita wa CCM waliothubutu na ikiwezekana usiishie hapo, walaani wote waliobaki kwa kuonesha woga na unafiki uliokubuhu. Ukifanya hivyo, wengi wetu tuliokubatiza "toothless bulldog" huenda tukakuangalia kwa miwani mipya na tukawa tayari kukukaribisha kama mwana mpotevu. Lakini hapa naomba nikuonye, mlango wa kutokea unazidi kubana na hii ni nafasi ya pekee kwako kusimama upande wa wazalendo kulitetea taifa hili.
Nape yuko Ujerumani kama kawaida kuhudhuria vi-warsha vya hapa na pale!
wanakoelekea magamba siku si nyingi tutaskia wametandikana makonde kwenye hivyo wanavyoviita vikao vya ndani,this is not far na haihitaji shehe yahya ndo aseme,they no longer dance to the same tune