Nape Nnauye: Viepukeni vyama vyenye mlengo wa matendo ya vurugu na utekaji wa wananchi

Welcome back Mr. Kafumu pamoja na kuzuiwa kisheria kutekeleza ahadi zako, hata hivyo, kuna miaka zaidi ya miwili itakayokuweza kuifanya kazi hii.

Haki huwa haipokonyi zaidi ya kucheleweshwa.

FEEL AT HOME.

Mkumbushe pia 2015 sio mbali ajiandae kwa kazi nyingine aturudishie jimbo letu.
 
Siwezi kukushangaa kwa vile mawazo yako niya KIBAVICHA BAVICHA, hata kuelewa ujumbe wa kawaida napo unahitaji mwenye fikra pevu akueleweshe.

Are you thinking from the gutter?.

Kama wewe unavyo fikiria kwa masaburi kwa akili yako ndogo unaona kuna ujumbe wowote hapo Nape katoa zaidi ya mipasho kama kawaida yake. Usiwe mvivu wa kufikiri we kubwa jinga.Bado kubwa jinga mwenzako anaimba ugaidi wakati single ishapitwa na wakati ama kweli kazi ipo.Angalia kwa mawazo hayo wanaweza kukuserukamba.
 
Ni kweli.
Wakati mwingine unasikia waziri akisema,"nitajibu swali la nyongeza la Mh. Mbatia (mbunge wa kuteuliwa) kama ifuatavyo........." utafikiri wabunge wanalipwa tofauti kutokana na jinsi ulivyoingia bungeni.
 
Siasa bwana eti " nilitamani kulia" we kafumu weweeeee!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ndo kaambiwa na Nape aseme hvyo ili Wanaigunga wamwonee huruma kwani hana sera.Pia kulia ni moja ya ajenda yao inamana hutambui hilo.
 
You hit the nail in the head.

Kama kungekuwa siyo kutamu, Mh. Godbless Lema asingeenda mpaka kwenye mahakama ya rufaa kutaka kupewa uongozi. Hata Dr. Slaa asingekuwa anahangaika kila kukicha kwenye barabara na kwenye majukwaani ya kisiasa ukilinganisha na UMRI WAKE. Legally, HE'S A PENSIONER!.
 

Wewe unafanya nini huku au kisa buku7 CDM haihitaji kubebwa iko juu sana ndo mana kila mkisimama hamuwezi kuacha kukinadi.
 
HONGERA Dr Kafumu maana watu wameumia sana kwa ushindi wako...inawauma sana lakini ikikuuma sana jinyonge.
 
Uelewa wako ni mdogo ni kwamba kafumu kunavitu ambavyo alishindwa kuvifanya kwa sababu alismamishwa kuwa mbunge.
 
Maskini CCM mmekufa ila hamjui kama mmekufa.idadi ya watu ilikuwa ndogo mno.kama ingekuwa CHADEMA hata mkutano unaoongozwa na diwani mmoja tu,una watu mara mbili ya waliokuwepo katika mapokezi ya kafumu.
 
Hivi wewe unafahamu maneno ya uchochezi?. Soma habari kwa kutumia macho mawili ukiongozwa na fikra pevu. Siyo kuja na angalizo la kitoto kama hili.

Kuitetea CCM unatakiwa uwe na akili kama ya mwendawazimu au uwe umepewa fungu. Si rahisi mtu kuitetea CCM kwa utashi wake.
 
CHADEMA ipi JUU sana wapi humu JF au kwa wananchi? Acheni kujidanganya...mumebeba kwapani tena dk ya 5 ati tunajitoa jitoeni tu....
 
Uelewa wako ni mdogo ni kwamba kafumu kunavitu ambavyo alishindwa kuvifanya kwa sababu alismamishwa kuwa mbunge.
Hivyo vitu aliahidi kwa siri?
Nani alikuambia mbunge anafanya kazi peke yake?
Anatekeleza hivyo kwa ilani ya nani?Kwa nini asifanye hayo kama mwanachama wa chama cha mapinduzi?
Unamaanisha kwamba alikuwa anasubiri arudishiwe ubunge ndiye atekeleze ahadi zake?
Kumbuka kuwa ahadi za mbunge ni ahadi za chama, zisipotekelezwa serikali ya chama husika itaulizwa na wananchi.
Uelewa wako ni mkubwa sana kama wa huyu mfanyakazi wa nyumbani:
 
Hivi huyu nape tabia ya kulopoka lopoka kijinga karithi kwa nani? mbona dingi ake profesa mark mwandosya hana iyo tabia ya ulopokaji?

Nduyangu umesahau mtu akishakuwa gamba hata akili anakuwa kama mzee kikongwe?
 
KUHONGA?. Hivi unafahamu neno kuhonga kisheria au unataka tuliongee kwa kutumia lugha ya kwenye vijiwe vya kahawa.Chama kinapowalipa wasanii kutumbuiza kwenye mikutano yake ya kisiasa, huwezi kusema kimewahonga kwa maana nyingine haina tofauti na CHADEMA kupitisha bakuli kwenye mikutano yao kwa ajiri ya kuwataka watu walipie mafuta ya magari ya viongozi wa CHADEMA.Kuhonga ni aina ya rushwa ambayo ni kosa la jinai linalokuwa punishable by Law.
 
hahahahahahhhhh!
 
Mawazo ya ki-BAVICHA ambayo yanafaa kusemwa kwa watoto wa shule za chekechea achilia mbali kwa wanafunzi wa darala la kwanza. Bahati mbaya kwako, hatuna watoto wa chekea kwenye hili jukwaa la siasa kwa hiyo hata jibu huwezi kulipata kwa maswali yako ya chekechea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…