Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
~Gori~ goliGori la mkono
Yakiitwa nyumbu yanakasirika.Michadema umekomaa hapa na mambo ya kijinga kabisa haya, yamesahau kwamba kuna uchaguzi wa selikali za mtaa.
Mm nawauliza kama Magu akitoka leo ndio ccm imetoka madarakani?
Kwani bado?Michadema umekomaa hapa na mambo ya kijinga kabisa haya, yamesahau kwamba kuna uchaguzi wa selikali za mtaa.
Mm nawauliza kama Magu akitoka leo ndio ccm imetoka madarakani?
Mh rais ni bukheri kabisa wa afya na ameshakula vichwa viwili huko nachingwea jioni hii, mkurugenzi pamoja na mkuu wa wilaya.Membe kashafanya yake Kwa jiwe kumbe jamaa walikuwa wanamsubiri Tu aingie Kwenye anga wamalize KAZI
Hiyo report ni ya juzi ilishaandaliwa isipokuwa wa watu wa nyumba nyeupe wamefanya propaganda ili ionekane jiwe Yuko fiti.Mh rais ni bukheri kabisa wa afya na ameshakula vichwa viwili huko nachingwea jioni hii, mkurugenzi pamoja na mkuu wa wilaya.
Nafikiri majibu tunayo wote hapa.Hiyo report ni ya juzi ilishaandaliwa isipokuwa wa watu wa nyumba nyeupe wamefanya propaganda ili ionekane jiwe Yuko fiti.
Jiwe yupo Hoi kitandani hizi report ni kama wosia tu