Nape Nnauye ana siri nzito. Je, amekamilisha mission?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
472
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
472 1,000
Nape Nnauye yeye kama yeye hana madhara ila wanaomtumia ndo humfanya aonekane ana madhara. Ni mengi yametokea mpaka yeye kurudi kupiga magoti kwa mh rais.

Nape alikuwepo pia kwenye shughuli za Mh Rais huko Mtwara. Rais wetu ametoka huko na kwenda mapumzikoni. Nape bila shaka anashukuru jinsi alivyoweza fanya kazi yake na kusifiwa na Mh. Rais.

Watu wa Pwani....usiwaamini sana.unaweza ukacheka naye hivi moyoni anakuchukia sana.anaweza hata kukulamba miguu lakini ..... Wanasema. "mtumikie kafiri upate ujira wako" na pia "baniani mbaya kiatu chake dawa"

Nape Nnauye. Tutaendelea kufahamishana.
 

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,435
Points
2,000

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,435 2,000
Hii ni topic ya discusion kweli?
Kiswahili kuwa dominating language imetusaidia mambo mengi, kuanzia kiusalama wa taifa na pia hata kufunika ujingawetu..
Wageni wangekuwa wanaelewa mawazoyetu sijui tungewekwa kundi lipi duniani.
Nimemaliza
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
5,036
Points
2,000

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
5,036 2,000
Nape hana siri yeyote na hajawahi kuwa nayo, ni mchumia tumbo tu kama wengine wengi.

Wenye siri hata ukiwatazama huwezi kuwajua, ila sio Nape. Labda kwa matusi tu ndio anafaa!
#Niguse ninuke!
#Gusa Unase!
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
3,219
Points
2,000

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
3,219 2,000
Mh rais ni bukheri kabisa wa afya na ameshakula vichwa viwili huko nachingwea jioni hii, mkurugenzi pamoja na mkuu wa wilaya.
Hiyo report ni ya juzi ilishaandaliwa isipokuwa wa watu wa nyumba nyeupe wamefanya propaganda ili ionekane jiwe Yuko fiti.
Jiwe yupo Hoi kitandani hizi report ni kama wosia tu
 

Forum statistics

Threads 1,380,969
Members 525,922
Posts 33,784,785
Top