Nape: ndan ya Ktn news

Yupo Dar, sio Nairobi. Yuko via Skype
 
Nape anauliza Bombardier ndo nini wakati alizunguka nchi nzima kuitangaza Ilani ya CCM na kwenye ilani suala LA ununuzi wa ndege lipo.
 
Hana busara huoni kamakatalia dreva Nairobi eti ana matatizoya saikolojia hahaaa
We nae Usijitie Zwazwa apa, Maana ya madaraka ni mtu ambae ana back up ya vyombo vya Ulinzi na Usalama ndio utaelewa M/kiti aliyelengwa. Bichwa kubwa huelewi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…