M Mjenda Chilo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,474 Reaction score 530 Aug 1, 2011 #1 Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko
Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko