Mimi nina hoja kwa bwana Nape. Nadhani sio vibaya baadhi ya watu wakiitafsiri kama walivyofanya kwa kuwa ni kawaida kutumia arguments za wanazuoni au wanafalsafa kuelezea uhalisia wa kinachotokea sasa au huko mbeleni. Rejea wanazuoni kama akina Newton, Galileo, Plato, Nyerere na authors wa majarida ya kitaaluma.