Bw. Saed Kubenea na Nape unfair comparison!!!
chadema isitake kuudaganya umma. ukweli ni kwamba wananchi hatuiwataki kwakutuona sisi watanzania ni watu ambao hatujitambuiMbunge mteule wa Mtama (CCM) Bw. Nape Nnauye amesema CCM wanatamani sana jimbo la Moshi na kama wangekuwa wanachakachua matokeo wangekuwa wameshatwaa jimbo hilo. Maeneo mengine ambayo wanatamani zaidi ni Pemba na Karatu. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu hoja za mbunge mteule wa Ubungo (CHADEMA) Bw. Saed Kubenea wakati wakihojiwa na Ivona Kamuntu, AzamTV. Kubenea amewatuhumu CCM na NEC kuhusu wizi wa kura. Pia Nape amesikitishwa na kile alichokiita 'kupigwa' kwa CCM kwenye mji mkubwa wa Dar es Salaam.
Wewe ni sawa na mendechadema isitake kuudaganya umma. ukweli ni kwamba wananchi hatuiwataki kwakutuona sisi watanzania ni watu ambao hatujitambui
Wewe ni sawa na mende
chadema isitake kuudaganya umma. ukweli ni kwamba wananchi hatuiwataki kwakutuona sisi watanzania ni watu ambao hatujitambui
Mtasema yote ndo tushampa ushind maguful hata aje agombee lowasa mwenywe na kivuli tutachagua kivuli, lowasa atakufa bila kuwa rais wa taifa hili
Mbunge mteule wa Mtama (CCM) Bw. Nape Nnauye amesema CCM wanatamani sana jimbo la Moshi na kama wangekuwa wanachakachua matokeo wangekuwa wameshatwaa jimbo hilo. Maeneo mengine ambayo wanatamani zaidi ni Pemba na Karatu. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu hoja za mbunge mteule wa Ubungo (CHADEMA) Bw. Saed Kubenea wakati wakihojiwa na Ivona Kamuntu, AzamTV. Kubenea amewatuhumu CCM na NEC kuhusu wizi wa kura. Pia Nape amesikitishwa na kile alichokiita 'kupigwa' kwa CCM kwenye mji mkubwa wa Dar es Salaam.

Nawachukia sana wachangiaji wanaopenda kuongelea swala la KUFA hasa kwa mwanadamu mwenzako. Hii ni kujaribu kuingilia kazi na mamlaka ya MUNGU, ni makosa sana na dhambi kubwa.
Watu tujifunze kwa hawa tuliowaona na kuwasikia wakiongelea afya ya Lowasa na kutabiri kifo chake. Wengi washakufa na Lowasa bado yupo hai, akina mchungaji Mtikila wamefanya kosa chili leo wametangulia wao. Unapomsema mwanadamu mwenzako kuhusu afya yake na ukafikia hatua ya kubashiri kifo chake, kwa kawaida mtu huyo hujenga hali ya woga na pengine kuanza kumlilia MUNGU muumba wa wote. Kinachofata ni MUNGU kuonesha huruma kwake na hasira kwako uliebashiri hayo. Tufanye siasa au tuchangie mada na tuache mambo ya kutuletea laana.
Ubarikiwe sana kwa hekima yako ni wajinga pekee wasio elewa
chadema isitake kuudaganya umma. ukweli ni kwamba wananchi hatuiwataki kwakutuona sisi watanzania ni watu ambao hatujitambui
Hebu muulize watu wa dodoma na dar nani wanajielewa? Then Tabora na Arusha nani wanajielewa? Halaf malizia na hii Shinyanga na Kilimanjaro nani wanajielewa?
Halaf muulize na hili alipata nafasi ya kupitia report ya ESRF (economic and social research foundation) kuhusu hali ya maisha katika mikoa ya Tanzania kiuchumi na kijamii!? Vigezo walivyotumia ni MIAKA YA KUISHI, HUDUMA ZA AFYA NA MAJI SALAMA, VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO, KIPATO CHA KILA KAYA KWA MWAKA NA HUDUMA ZA UMEME NA ELIMU. Kama anaijua mikoa iliyoongoza na iliyo kuwa mkiani akutajie kama hajui mpe homework,
Mwisho achukue majibu ya uchaguzi mkuu mwaka huu then ajijibu mwenyewe akina nani wanajielewa na akina nani hawajielewi. Tuwasaidie hawa ni ndugu zetu taratibu wataelewa hatuwezi kuwaua au kuwatenga mana ukizaa mtoto mjinga ni wa kwako tu Muombe Mungu ampe ufahamu aweze kuelewa mafundisho na kutambua jema na baya ni rai yangu kwa watanzania wote tuwape sana mafundisho hawa ndugu zetu