Kinana alichosema ni kuwa si rahisi kutengeneza Katiba itakayo mridhisha kila mtu hivyo CCM kama chama yatakuwepo tunayoyaunga mkono na mengine tunaweza kuwa na ushauri tofauti lakini tusibiri kikao cha Kamati Kuu kinakutana jtatu tutakuwa na msimamo wa taasisi. Namimi nikarudia hapo hapo. Nilichosahihisha ni dhana kuwa CCM inapinga rasimu mia kwa mia, sio sahihi! CCM haipingi rasimu ya Katiba bali inaweza kuwa na maoni tofauti kwa baadhi ya mambo!
Nape
Kati ya Kinana na Nape nani kiongozi wa mwenzake. I thought Nape was answerable to Kinana? If that is the case how dare Nape utter those words. Chama kinapoteza mwelekeo.Hata mimi nimemsikia.Akasema kuwa maneno ya Kinana ni ya mtaani na si msimamo wa chama! Nape hakuongea kwa staha hata kidogo. Kiukweli,mambo si shwari ndani ya chama changu. Tunahitaji dua zenu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nabado, hawana jipya
KATIBA SIO MALI YA CCM WALA CHADEMA NI MALI YA WATANZANIA,MBONA MNATAKA TUTUKANE TUPIGWE BAN NYIE WANA SIASA?.KUWENI SERIOUS YEYOTE AMBAYE A TAPINGA RASIMU HII KWA LENGO LA KUIBOMOA TUTAPAMBANA NAE HATA KAMA NI CHADEMA ..a
ha ha ha ha ha mnahitaji dua zetu! Nimecheka kweli.Hata mimi nimemsikia.Akasema kuwa maneno ya Kinana ni ya mtaani na si msimamo wa chama! Nape hakuongea kwa staha hata kidogo. Kiukweli,mambo si shwari ndani ya chama changu. Tunahitaji dua zenu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana nayo kama chama. Lakini Nape kadai yeye alishasema kuwa anakubaliana na rasimu hiyo na alishawapongeza kina Jaji Warioba kamalizia kuwa hayo maneno ya kutokubaliana nayo ni ya mitaani kwa vile yeye ndo msemaji wa chama chao.
Source: BBC