Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
Kwa hiyo UDOM CHADEMA,CBE CHADEMA,kweli Dodoma wadeka.Ila najua Serikali itavifunga vyuo vyote wakati wa uchaguzi 2015.Mmejiandaaje kwa hilo?Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo kuhakikisha kuwa Spika anakuwa mwanaccm
Kwenye uchaguzi wa rais uliofanyika Ijumaa iliyopita ulishuhudia matumizi makubwa,ya fedha kutoka kwa wanaccm,pamoja na hayo matumizi bado walipigwa chali,uchaguzi wa spika utafanyika ijumaa hii
Kwa hiyo UDOM CHADEMA,CBE CHADEMA,kweli Dodoma wadeka.Ila najua Serikali itavifunga vyuo vyote wakati wa uchaguzi 2015.Mmejiandaaje kwa hilo?
Anatumia wanafunzi ambao ni wanaccm kumtengenezea aliyeshinda Urais ambaye ni mwanachadema
Kwenye huu uchaguzi wa spika,amekuwa akitumia hela nyingi ili ashinde spika mwanaccm
Hizi politics za chuoni tu mnatumia pesa kunua kura, je huku uraiani si mtawauza wananchi ili muwe wabunge au maraisi!
Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo kuhakikisha kuwa Spika anakuwa mwanaccm
Kwenye uchaguzi wa rais uliofanyika Ijumaa iliyopita ulishuhudia matumizi makubwa,ya fedha kutoka kwa wanaccm,pamoja na hayo matumizi bado walipigwa chali,uchaguzi wa spika utafanyika ijumaa hii