Nenda 7 7 maonyesho,Tafuta banda la Nida.
Ukilipata umekwisha.
Unachotakiwa kufanya,Piga picha za passport size,nenda serikali za mtaa wakupe barua ya utambulisho,kisha nenda stationary waambie wakupe form ya nida(,Kama hana,ana download kwny Website husika.)
Ukiipata hiyo jaza taarfa zako kwa usahihi ...kwny hiyo form.
Kisha nenda 7 7 maonyesho.
Utafute hilo banda watashughulika na hitaji lako.
Usiniulize swali maana mm mwenyewe nimeambiwa tu,ila aliyenambia yy alipata.
Hakua nacho tangu mchakato umeanza na amesumbuka sana lkn awamu hii kapata.