Napata wapi hizi Mashine!?

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,698
Reaction score
1,783
Wakuu habari!

Niko na shida ya kupata hizi mashine kwa haraka mno. Mashine hizi zote zinatumika kwenye kukunia nazi.

Anayejua zinakopatikana, na bei na hata mawasiliano anisaidie please.

Ahsante!
 
Nunua motor 1HP na ipeleke wakuchongee hicho kirungu. Kirungu hubarishwa mara kwa mara, hivyo chonga vingi kwa matumizi ya baadaye. Kuna michongo ya aina mbalimbali kulingana na ukunaji .
 
Nunua motor 1HP na ipeleke wakuchongee hicho kirungu. Kirungu hubarishwa mara kwa mara, hivyo chonga vingi kwa matumizi ya baadaye. Kuna michongo ya aina mbalimbali kulingana na ukunaji .
Mkuu.. hii 1HP inaweza ikawa sh ngapi!?? Na kwa dar wapi wanachonga hivyo virungu!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…