Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Mar 5, 2025 #21 Pale Gerezani mwanzoni karibu na Kamata, ndio huwa zinapaki daladala nyingi zinazoenda nje ya mji uelekeo wa Kilwa road kuanzia Chamazi, Kisewe, Mbande, Vikindu na Kisemvule huko
Pale Gerezani mwanzoni karibu na Kamata, ndio huwa zinapaki daladala nyingi zinazoenda nje ya mji uelekeo wa Kilwa road kuanzia Chamazi, Kisewe, Mbande, Vikindu na Kisemvule huko