Kama bado upo Karume em tafuta bar kwanza uburudishe nafsi, lala hapo mpaka asubuhi then panda daladala za kwenda Mbagala then utakutana na gari za kwenda kisemvule zimejazana hapo.