Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini tatizo halionekani. Nimetumia madawa ya kila aina ya antibiotics lakini hali inazidi kuwa mbaya huku tumbo langu likinguruma sana. Mbaya zaidi nikilala usingizi hata mchana naamka mwili umechoka ukiambatana na maumivu makali na mdomo ladha ni chungu utadhani nimekunywa nyongo. Jamani yaweza kuwa tatizo gan? Mwenye uelewa, kwasababu nateseka sana
 
Kuna uwezekano mkubwa una vidonda vya tumbo,nenda hosp haraka tafadhali
 
Mkuu pole sana inaonyesha mwili wako una asidi nyingi Asidi ikizidi ndio chanzo kikubw acha maradhi. Unatakiwa utibiwe kuondosha asidi iliyozidi mwilini mwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…