Habari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata huwa sijisikii tena ham ya kufanya mapenzi na matokeo yake huwa nasikia maumivu makal sehemu za siri kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!na mpenz wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii!Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali?naomben ushaui wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.