Napasikia tu Lebanon ya DSM. Ni wapi?

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Lebanon ni wapi kwa hapa Dar?

Nasikia huko kuna ushenzi wote na wanapatikana watu wa makabila yote duniani na kuna aina ya pesa zote zitumiwazo duniani. Madawa ya kulevya, bangi, pombe na ukahaba vyote nasikia vinafanyika huko.

Ni wapi Lebanon ya Dar as Salaam?
 
mshana jr ndio mtaalam wa maeneo dar????

Ngoja na mie nimsubirie
 
Last edited by a moderator:
Usiwe mvivu wewe tafuta uzi wake upo humu humu.
 
Mkuu hiyo nchi nasikia ipo karibia na maeneo ya ikulu, kuna uzi aliwahi kuweka Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Mbona nimeutafuta nimeukosa kichwa chake cha habar kilikuwa kinasemaje


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nchi-ndogo-ya-lebanoni-ndani-ya-tanzania.html


Unataka kwenda huko, una passport?
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo mkuu
 
Hii ya kigamboni si ndio chomico. ?. Sogea mbele kidogo utamkuta chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…