evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,980 Reaction score 9,928 Jun 7, 2017 #1 Napangisha nyumba Dodoma Mjini (area E ) ina vyumba vinne kimoja master, jiko, sebule na public toilet ipo ndani ya fensi bei laki nne Kwa mwezi kodi yangu miezi 12 au 10. Madalali mnakaribishwa pia. Mimi ndiye mwenye nyumba, Kwa maelezo zaidi ni pm
Napangisha nyumba Dodoma Mjini (area E ) ina vyumba vinne kimoja master, jiko, sebule na public toilet ipo ndani ya fensi bei laki nne Kwa mwezi kodi yangu miezi 12 au 10. Madalali mnakaribishwa pia. Mimi ndiye mwenye nyumba, Kwa maelezo zaidi ni pm
kagwima JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,327 Reaction score 1,705 Jun 7, 2017 #2 Picha jmn