Naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, ninajishughurisha na kusafisha masinki ya chooni na masink ya kunawia ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu.
Napatikana Dar es salaam
0676868660
Kaka/Dada kama umeamua kumpa kazi,mpe tu,suala la material halikuhusu,kwako muhimu ni kuondoa uchafu uliokushinda wewe,hiyo ndiyo password na kazi yenyewe.
Labda ingekuwa mapishi ungeuliza ili usidhurike na pengine kuna baadhi ya ingrudients usingependa zitumike kwako labda kwa katazo la kiafya.
MPE KAZI APATE NOTI.
Naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, ninajishughurisha na kusafisha masinki ya chooni na masink ya kunawia ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu.
Napatikana Dar es salaam
0676868660