At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Na spread awareness ili tuhame wengi mpaka washtukeMmefungwa kamba uko au mmekatwa ulimi na hao voda! Mitandao iko mitano si muwahame hao
Ubaya hakuna mwenye uafadhali wanahitaji close supervision.Hameni huko jamani! Vodacom na Tigo ni majanga!
Labda ukiwapigia ndio afadhali.Juzi wamenikata deni la MPAWA. Kisa tu wameona kwenye MPESA kuna hela.
Huduma imekuwa mbovu sana.
Nimeomba waniondoe katika kupokea message za matangazo ya mnada poa . Nishatuma message nyingi STOP ila . Bado napokea msg za mnada poa
Mkuu angalau Halotel na Zantel ila sio Tigo na Vodacom! Hawa jamaa shida tupuUbaya hakuna mwenye uafadhali wanahitaji close supervision.