Naombeni ushauri

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
Nina mpenzi wangu ambaye simuelewi, maranying huwa nasuruhisha matatizo pindi yanapo tokea, ila nashindwa kufahamu hadi naamuwa kukaa kimya wakati fulani ananitafuta kuanza kulalamika nashindwa kumuelewa nikimuuliza jibu lake nipo kawaida mpenzi wangu sina tatizo.

Naombeni ushauri juu ya uhusiano huu
 
Hebu rudia kuandika unacho maanisha.....mimi sikuelewi....au ndiyo maana hata hamuelewani
 
Jf raha sanaa...mwenyewe hueleweki ulichoandika...hahahahaaa
 
Mtu kama hataki kusema matatizo yake, wewe usihangaike endelea kula maisha, huoni maisha mafupi haya??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…