Nyie watoto mtatutoa roho, mapenzi shuleni siku hizi ni hatari sana.
Watoto wachache sana wa shule wanaweza fanya maamuzi ya kupima.
Lakini haiondoi kuwa kuna watoto wanaozaliwa na VVU na kukua na kuishi na VVU, kama hawakufundishwa kuwalinda wenzao, basi nao wanajiachia tu, kama ujuavyo ujana maji ya moto.
Kuna mtoto namfahamu, kawaammbukiza sana wenzie bila kujua na baada ya kujua. Kwao hawakumwambia kamaa ni mwathirika hadi alipomaliza F4, tena ni baada ya CD4 kuanza kushuka na kuugua. Madaktari walishauri aambiwe sababu ngono inamfanya awe weak zaidi, je alikuwa keshaambukiza wangapi?
Hata baada ya kwenda high skul aliendelea kuwagegeda tu.
We kijana, kama mzazi nakuushauri uachane na ngono kwa sasa, ila kama kweli mnapendana nendeni mkapime. AIDS is real.