Kwanza mkuu rudi kwa mungu wako, kwani kuishi na mwanamke bila ya kumuowa ni kuzini nae tu, ni kinyume cha maamrisho ya mungu.
Pili omba msamaha kwa mungu, sali sana muombe akusamehe na akulinde na akuongoze katika njia ilio sahihi.
Muombe mungu akuondolee na balaa, na akupe kilicho kheri na wewe, tena uwoe mkuu.
In sha Allah