maimartha jifunze kuridhika....yaani kukubali kuwa kuna baadhi ya vitu huwezi kuvipata wala kwa wakati uliopo
Ushauri gani unaotaka upewe?, wewe kicheche tu huna maana hata kidogo. Pia kumbuka ukija kustuka tayari hilo limbunye lako litakua utamu wote kwisha na litabakia kwa ajili ya kukojolea tuu.
Tatizo akili yako tayari umeiweka hivyo na kama unataka isiwe hivyo inawezekana amua sasa kusema huyu ndiyo BF wng wa mwanzo na wa mwisho mpaka ndoa itawezekana kabisa.naombeni msaada wanajamvi.
mimi nimsichana naombeni ushauri mwenzenu nikiwa katika mahusiano haichukui mda namchukia bf nitakae kuwa nae tena kila mda natamani kumuacha na nitafanya mbinu zote ili kuhakikisha tunaachana baada ya kuachana nakaa mda najutia maamuz hali hyo imenitokea miaka mingi sasa. nimejikuta nikipoteza wachumba wengi.naombeni ushauri wandugu
Ushauri gani unaotaka upewe?, wewe kicheche tu huna maana hata kidogo. Pia kumbuka ukija kustuka tayari hilo limbunye lako litakua utamu wote kwisha na litabakia kwa ajili ya kukojolea tuu.