My dears... Msimjudge huyu binti vibaya.
Haya mambo yapo,yasipokutokea wewe yatamtokea hata dada yako.
Kama unafatilia mahubiri na shuhuda mbalimbali,wapo wengi tu, esp Kwa Tb Joshua.
Mnapomtolea maneno ya kshfa na kejeli na dharau ,
unajisikiaje ndani ya moyo wako?
amani- kwamba umemkomesha,?do u know her?
furaha-kwamba unaongea uwezacho as long as nobody knows you here?
Au hujui unachofeel,basi kama hujui,Ipo siku utalipwa then utapata feeling yoyote.
Na nakuombea jini moja lenye mahaba makali likufate ulipo.
Pole@maimartha, hayo mambo kwa uelewa wangu ni mapepo,majini mahaba na huwa na wivu sana sana.
Kuna posts nyingi humu,kuhusu hayo mambo. Na uhakika utapata suluhisho. Na Kuwa na amani,everything will be okay,Trust God!