Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
If ur arent old enough to be a legal adult,financially support urself and another person,own a car,have/rent a house,get married and emotionally handle rejection,then what on earth makes yu think you are ready to have sex?miezi michache iliyopita nilitokea kumpenda msichana fulani ambaye ni jirani yetu so nikaamua kumwelelza hisia zangu kwake kama bahati akanikubalia na mapenzi yakaanza hapo yalikuwa motmoto na ilikuwa ni lazima kila siku tuonane yeye alikua anpenda kuja kwetu.Huyumpenzi wangu yeye anaresit mitihani ya kidato cha 4 mimi nasoma diploma chuo flani hapa mjin .Tatizohapa lililojitokeza nikwamba huyu msichanaameanza mizinga sanamara vocha nk, bila kutathimni yote status yangu mm nipo chuo sina kazi na nasomeshwa kwa msaada wa ndugu na hivi sasa amekata mawasiliano sababu simtmizii hayo yote najaribu kumtafuta ili nimwleleshe lakini ananikwepa na si kweli kama kwao wa shida sana nifanye nini wandugu kwa sababu bado nampenda /
No money no love,maliza chuo upate kazi ndipo utafute demu
kwa hiyo mchafuane halafu hela ya sabuni akaombe kwao?
unapomtext na yeye anakujibu unadhani simu yake inatumia solar?
mapenzigharama....
na huyo binti mpuuzi sana badala ahangaike afaulu yupo busy na mapenzi? ebohhhh