Naombeni ushauri ndugu zangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Unawezaje kumtongoza au kumfanya mwanamke ambaye hakupendi akupende?

Mimi kuna mwanamke ambaye namtaka ila kwa bahati mbaya mwanamke huyo kama anavyosema yeye ni kuwa hanipendi!

Ila ananipa mda wake yaani nikitaji kuongea na yeye, nikimwambia nipo sehemu fulani nikute anakuja.

Ila kutoa jibu kuwa nakupenda kwake ni vigumu, sasa hali hiyo inanifanya nishindwe na la kufanya.

Wakubwa, mwanamke kama huyo ni njia ipi ambayo ninaweza kutumia na kumpata kirahisi?
 
Samahani.
Una akili timamu?
Dunia hii ya leo unahangaika kuforce love.
Mwambie hivi , nilikupenda ila kuanzia sasa sikupendi maana siwezi kulazimisha kupendwa.
Hutaona calls wala sms zangu.
Baada ya hapo mblock.
Biashara imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…