Mambo vipi wadau nlijua nina plan ya kununua laptop.....matumizi makubwa ntakayokua nafanya ni Gaming(playing pc game)
Sasa ningeomba perhaps specification ambazo uangalau zitakua poa for gaming purposes

ingia google search hii topic "msaada juu ya laptop aina ya nvidia" utapata huo uzi upo humu jamiiforums. unaelezea mambo yote ya kuangalia ukitaka mashine ya gaming.