carlos4050
Member
- Jan 10, 2017
- 6
- 7
Husomi software engineer unasoma software engineering. Hii kozi inatolewa udom pekee kwa hapa tz, na wanataka mtu wa aliyesoma pure maths. Kama una ufaulu mzuri omba...jamani ndugu zangu naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anataka kusomea software engineer je ili akasomee course hiyo anatakiwa afaulu masomo yapi ili aqualify kusomea kozi hiyo na vyuo gani vizuri vinavyofundisha kozi hiyo asane
Husomi software engineer unasoma software engineering. Hii kozi inatolewa udom pekee kwa hapa tz, na wanataka mtu wa aliyesoma pure maths. Kama una ufaulu mzuri omba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulisoma chuo kinacho tambuliwa na serikali basi jua wanachoangalia ni matokeo ya diploma!!vp kwa mtu ambaye ana diploma ya computing and information technology lakini mathe ya o'level akufanya vizuri anaweza pokelewa UDOM
Kama ulisoma chuo kinacho tambuliwa na serikali basi jua wanachoangalia ni matokeo ya diploma!!
Kama ulisoma chuo kinacho tambuliwa na serikali basi jua wanachoangalia ni matokeo ya diploma!!