Deal done!Pole sana na hongera. Ukiwa huko sato City pambana nao hadi mwisho
Mbona kama umejipa matumaini sana kupitiliza.? Ila hongera, usisahau kunitumia mshahara wako wa mwezi wa kwanza 😂😂😂Sidhan waliofanyia Dar wanaweza kutop hapo.
Deal done!
Sasa nasubiria majibu!
Kumbe Yule jamaa aliyeenda Dar anapigisha interview huko hii wiki.
Ila Mimi Nina advantage kwasababu nmetembelea plant Na wakaniambia "tunakupa short tour ya kiwanda then tunataka uje utupe majibu ya
1.Two things we're doing right &
2.three things we're doing wrong"
So nkasurvey then nkakomment vizuri kabisa.. Sidhan waliofanyia Dar wanaweza kutop hapo.
Hongera sana mkuu, keep it upDeal done!
Sasa nasubiria majibu!
Kumbe Yule jamaa aliyeenda Dar anapigisha interview huko hii wiki.
Ila Mimi Nina advantage kwasababu nmetembelea plant Na wakaniambia "tunakupa short tour ya kiwanda then tunataka uje utupe majibu ya
1.Two things we're doing right &
2.three things we're doing wrong"
So nkasurvey then nkakomment vizuri kabisa.. Sidhan waliofanyia Dar wanaweza kutop hapo.
Mbona kama umejipa matumaini sana kupitiliza.? Ila hongera, usisahau kunitumia mshahara wako wa mwezi wa kwanza
Bro, hv unaonaje ukishamaliza kumwambia ajiajiri umfate PM halafu umpatie pesa ya kujiajiri.? Sina nia ya kukutukana ila ww ni mpumbavu
Mkuu hilo swali ulilielewa vizuri?lina falsafa kubwa ndani yake.Deal done!
Sasa nasubiria majibu!
Kumbe Yule jamaa aliyeenda Dar anapigisha interview huko hii wiki.
Ila Mimi Nina advantage kwasababu nmetembelea plant Na wakaniambia "tunakupa short tour ya kiwanda then tunataka uje utupe majibu ya
1.Two things we're doing right &
2.three things we're doing wrong"
So nkasurvey then nkakomment vizuri kabisa.. Sidhan waliofanyia Dar wanaweza kutop hapo.
Mimi kazi Ni ya QA/QC kwahyo majibu yangu yalipiga humohumo kwenye mshono...kwhy nilijibu Kwa kuangalia vitu gan wanafanya vinaleta quality Na vitu gan wakifanya vitaongeza quality,,,Btw mkataba unaprintiwaMkuu hilo swali ulilielewa vizuri?lina falsafa kubwa ndani yake.
Wewe unahisi walitaka uwaambie good things and wrong things in what aspects?Jibu lako ulibase kwenye kuangalia vitu gani?
Wazungu ni wajanja sana wanataka kujua kama vitu unavielewa au ni mtu wa kukariri makaratasi
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app