Naombeni Ushauri kuhusu hii interview

Nimecheki mkuu..hakuna
Halafu interview walisema Ni in person
Kinachonshangaza nlpompigia kaniambia we will notify you the location details through email ila Hajatuma Sasa...au kutingwa Kazi?
Okaay.
Ushauri wangu, kama ningekuwa ndo wewe ningechill tu. Hata kama amejisahau, j3 akija kushtuka hawawezi kukukurupua tu na wanajua upo Dar... Unless hiyo position tayari wamemuandalia mtu wao, in that case hata kama ungekua umeenda bado ingekua kazi bure tuu.
Hayo ndo mawazo yangu mkuu.
 
Tatizo Ni kwenye process zote hawajauliza Niko wapi..
Swali lililoulizwa Tu Ni Are you available to work in Mwanza?nikajibu yes
 
Piga tena simu, Msumbue, remind.. this people wako busy,
 
Nitasema kulinga na experience yangu nilivyoishi na wazungu Zanzibar.

Kama kweli wamekuita interview na unauwezo wa kwenda nenda physically... Wanzungu huwa hawana tabia ya kumutumia MTU ujumbe Mara mbili mbili...kama unaweza fika nenda...pia hawanaga nepotism.. Kama haujui haujui tu..ila kama umefahuru watakuchukua...Go Go Go Go mzee..kama uchumi upo.
 
Npo Kwa basi
 
𝑵𝒊𝒑𝒐 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒂!
𝒗𝒊𝒑𝒊 𝒖𝒎𝒆𝒊𝒕𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝑲𝒂𝒎𝒑𝒖𝒏𝒊 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒊𝒌𝒖𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒆 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒂𝒓𝒄𝒉?

𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒅𝒊𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒌𝒐 𝒏𝒚𝒂𝒌𝒂𝒕𝒐 𝒊𝒏𝒅𝒖𝒔𝒕𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒂𝒓𝒆𝒂?

𝒂𝒖 𝒊𝒍𝒆 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒌𝒐 𝒎𝒌𝒖𝒚𝒖𝒏𝒊?
 
Hapo cha msingi usiende ila kila baada ya siku tatu tatu mpigie simu kumuuliza. Msumbue tu kwa njia ya simu hadi kieleweke hata kama hiyo tarehe imeshapita
 
Chai
 
😂😂😂😂 Pole sana na hongera. Ukiwa huko sato City pambana nao hadi mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…