Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

Ndugu hiyo bonge moja la coz mshikaj wangu amepiga hiyo Nit diploma alipoingia kitaa akwa anadili na folklift tu saiv kaacha nazi Ana kampuni take life goes on!kakomae tu kijana.
 
Ok, ebwana kuna dogo lasi kamaliza form six kapangiwa NIT(Bachelor of automobile engineering), sasa nikiangalia mchanganuo wa ulipaji wa naona NTAs level nying mpaka ya 8, kwa kuwa una ufaham juu ya mambo hizo, huyo dogo atakuwa level gan?
 
Horticulture utalima bustani na maua hiyo ni Sawa na pro. mungai
 
Ok, ebwana kuna dogo lasi kamaliza form six kapangiwa NIT(Bachelor of automobile engineering), sasa nikiangalia mchanganuo wa ulipaji wa naona NTAs level nying mpaka ya 8, kwa kuwa una ufaham juu ya mambo hizo, huyo dogo atakuwa level gan?
Kama huyo dogo ndo anaingia mwaka wa kwanza atalipia hiyo NTA level 7 kaka!!!!
 
Hiyo kozi hutakufa njaa mjini si unaona magari yalivyo mengi, au huyaoni?
 
Vp mechanical hapo iko vp je ni miaka mitatu pia kwa waliotoka form 6
Kwa Mechanical ni koz changa pale Nit haina muda sana imeanzishwa mwaka 2013 kwahyo si ya muda sana. Unajuaa kitu chochote ambacho ni mwanzo hakikosi changamoto zake..
Watu wa form 6 wanasoma miaka 4 lakini wenye diploma ndo miaka 3 mkuu!!!!!
 
Nlikua na mpango wa kubadil kuchukua mechanical pale nafikiri pamoja na changamoto ila kitabu knaweza kwenda vizuri kwasababu naona mech ina uwanja mpana kuliko automobile au unanshauri vp
Kwa Mechanical ni koz changa pale Nit haina muda sana imeanzishwa mwaka 2013 kwahyo si ya muda sana. Unajuaa kitu chochote ambacho ni mwanzo hakikosi changamoto zake..
Watu wa form 6 wanasoma miaka 4 lakini wenye diploma ndo miaka 3 mkuu!!!!!
 
Mechanical, electrical na civil engineering ipi inalpa zaidi. Au co mbaya mkaorodhesha kuanza moja had mwisho.msaada naomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…