Sawa mkuu nimetoa tu tahadhari sio kwamba wasikopshwe, ila wajue unakopeshea wasoma kozi gani????? Wasije wakawa kama hawa wanao tafutwa mtaani kwa kushindwa kulejesha mkopo na ajira hawana, kwasbb ya kusoma kozo irrelevant katika soko la ajira ni vizuri kua concious katika kutumia hiyo pesa sio donation, ujua madhara yake ya badaye. Inaweza ikakutesa maisha yako yote ya ujana kuilipa na riba yake juu.