Naombeni msaada

Muoe tu bhana, kwani wakati mnaanza hadi umlipofikia maamuz ya kuoa kuna kingine umeona kikubwa zaidi ya umri???? kama ukubwa ni miaka tu. muoe
 
Kinachotakiwa ni upendo na heshima,dunia ya sasa hatuangalii wazazi/ndugu wana mtazamo gani,tunaangalia MOYO umependa?
 
Kinachotakiwa ni upendo na heshima,dunia ya sasa hatuangalii wazazi/ndugu wana mtazamo gani,tunaangalia MOYO umependa?

Asante sana UPENDO NA HESHIMA upo,ila wazazi na ndugu ni shida
 
Hiyo tamu eheeeeeh🙂
 
Lakini hapo mbona inaonesha kuwa yeye ndio ana kuoa?
 
Ndo ugonjwa wangu huo napenda xana mwanamke anizidi umri angalau 5 yrs
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…