NAOMBENI MSAADA WADAU

Mpokile

Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
10
Reaction score
6
Simu yangu toka nimeanza jana kuweka apk kwa simu yangu,inaniandikia unfortunately android phone mara kama umezima data umewasha data zinajizima na baada ya hapo simu inaganda naona inajiwasha sasa wadau kwa wale wenye CV zao za IT Naombeni msaada wenu niondokane na hili tatizo
 
hapo tatizo laweza kuwa ni virus wameingia kwenye system na pia inategemea hiyo cm toka kuanza kutumika ni muda gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…