Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
hio simu inabidi u reinstall rom sema kuna mambo mawili.
1.kuinstall rom ya kawaida
-kama simu ilishakua unlocked haitasumbua simu yako itapona,
-kama haijawa unlocked kuna hatari ya kuwa bricked na kutofaa kabisa
2. kuinstall rom ya at&t
-kuna posiibility ya kuwa locked tena uanze upya kui unlock
-pia inaweza ikafaa.
ushauri wangu kamuone fundi anaejua kuflash/ku unlock hivyo vifaa vya atnt ili akusaidie kufanya alone kuna risk ya kuiua.
Nashukuru kwa kunitia moyo ndugu.
Ila hapa nimetembea nayo karibu kwa mafund 3 ninaowaamini ila wote wameshindwa.
Nadhani ilikua unlocked maana jaama alikua ameweka laini ya voda na alikua anaitumia.
Je hakuna njia rahisi yoyote ambayo sio risk ambayo ukinipa maelekezo naweza kufanya kwa makini na ikafaa?
kaka hakuna njia isio na risk.
cha muhimu kabla ya kuieka rom mpya (kuiflash) inabidi ujue aina ya rom ya simu yako. japo ni galaxy s2 kuna baadhi ya rom za s2 hazifai kwenye simu yako hivyo unatakiwa ujue simu yako ni s2 ipi.
kuna s2 hizi hapa
sgh-I777
sgh-I9100
sgh-I9105
so wewe toa battery angalia kwa nyuma huko s2 yako ni ipi then ntakupa procedure za kufuata
Yenyewe ni sgh-i777.
Nasubiri mwongozo wako kiongozi.
Kitu nimeangaika nayo mpaka imekubali kaka. Ubarikiwe sana kiongozi, na uwe na maisha marefu.