yaani IT mpaka uwe umefauru science sheria ya wapi hii? si bora aende vyuo vya afyaUnapaswa kuwa umefaur science subjects like physics, chemistry, biology, mathematics and English kwa angalau kiwango cha d lakin sio chuo cha dit pare kuna competition kubwa uwez pata
Tatizo lako hujui na hutaki kukubali kuwa hujui...hiyo IT ni science then ushauri wa bure kwako ukiweza jitahidi sana uweze kureseat hasa kama hesabu ulifail but km kidogo ulipata D,chapa mwendooScience sio kweli japo sijajua lakini naona sio kweli mimi nahitaji kusoma IT ya unaniambia science haaa hapana ndugu kama hujajua labda ungekaa kimya kdg sorry
Ila kama unajijua huwezi kushauri ni bora utulize tu kijambio chako usidhani tunavyoomba ushauri ni wajinga ila tunaomba maana huenda wapo ambao wanasoma waliopo humu sasa wewe naona unakuwa kama unawashwa hv si ukae utulie tu manyokoTatizo lako hujui na hutaki kukubali kuwa hujui...hiyo IT ni science then ushauri wa bure kwako ukiweza jitahidi sana uweze kureseat hasa kama hesabu ulifail but km kidogo ulipata D,chapa mwendoo