man jile Member Joined Aug 1, 2016 Posts 71 Reaction score 4 Dec 19, 2016 #1 jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte . lakini nimejaribu kuwasiliana na mkuu wa chuo cha kreluu majibu aliyonipa kasema kwamba saponsor ship haitumwi chuoni wananitumia mm je, saponsor ship hiyooo nitaipataje???? ili niweze kwenda kusomaaa ?? anayejua hilo naomba mnisaidie ndugu zangu ili nichukue saponsor ship hyo nikasomeView attachment 448125
jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte . lakini nimejaribu kuwasiliana na mkuu wa chuo cha kreluu majibu aliyonipa kasema kwamba saponsor ship haitumwi chuoni wananitumia mm je, saponsor ship hiyooo nitaipataje???? ili niweze kwenda kusomaaa ?? anayejua hilo naomba mnisaidie ndugu zangu ili nichukue saponsor ship hyo nikasomeView attachment 448125
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Dec 19, 2016 #2 Ngoja wataalamu wanakuja