Naombeni msaada jinsi ya kutoa Macbook

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Salaam, nimepata Macbook sijawahi kuitumia kabisa, nimeshindwa kupata programs za kufanyia kazi kama word, excel etc, ninaomba msaada wa darasa kwa wataalamu na wazoefu. Na kama kuna software ambayo itahitajika niinstall tafadhali naomba mwenye link ya kudownload
 
chances ni kwamba hamna hiyo excel wala word or any package ya ms office. Unachotakiwa kufanya ni kununua.
lakini kama unataka free software ya office. Unaweza kudownload "libre office" or "apache office" hizi ni free, lakini Microsoft Office ni lazima ununue. Pole.

Kuna software kadha wa kadha pia ambazo ni free, sema sasa sijajua wewe una matumizi gani sana na hiyo mashine, ni rahisi kwa mtu kurecommend kama utasema matuminzi yake/yako.

Naamini umepata mwangaza pa kuanzia.
 
Hahahaa, tatizo la kujizoesha OS moja tu, na wengi wamekariri Windows tu OS nyingine ni tatizo kwao. Pole sana mkuu. Chukua Libre Office, ni nzuri. Naitumia na ninaona ni bora kuliko Microsoft Words kwa kuwa ina Formats nyingi, simple, faster, Ina miaka mingi kwenye Utafiti, Ina Lugha nyingi zaidi ya MW na Free upgrades daily.
 
Hahahaa, tatizo la kujizoesha OS moja tu, na wengi wamekariri Windows tu OS nyingine ni tatizo kwao.

ni kwasababu hizo zingine hazina maana kama MS. nakushangaa unamcheka, hapo ni sawa na kumcheka anayeongea kiingereza coz hajui kiswahili au kifaransa
 
ni kwasababu hizo zingine hazina maana kama MS. nakushangaa unamcheka, hapo ni sawa na kumcheka anayeongea kiingereza coz hajui kiswahili au kifaransa
leh ... hivi unajua unachoongea?!
 
ndio najua nachosema Dotworld. Microsoft inaendesha computing world penda usipende. achana na linux na mac.. kama unabisha we sema
 
Last edited by a moderator:
ni kwasababu hizo zingine hazina maana kama MS. nakushangaa unamcheka, hapo ni sawa na kumcheka anayeongea kiingereza coz hajui kiswahili au kifaransa

Mkuu, Mfano wangu na mfano ulioutumia mkuu sidhani kama vimeendana, Sababu nilizompa sio sababu zinazonifanya niitumia Libre, ni sababu ambazo ni rahisi kwake kufanya na kumfanya achague. Mimi natumia Word na nimeizoea na Libre nimeizoea, Yeye kuizoea Libre kama Words sio vibaya.

MS na libre, MS haiifikii Libre kwa ubora (fanya utafiti) ila Libre haiifikii MS kwa kuwa popular. MS hasa kwa watu waliozea Windows ndio mkombozi wao tu. Ila softwares sio kama lugha maana sifa za lugha katika ubora na culture ni tofauti sio kama Software. Sio kwamba namcheka aliyezoe MS words tu, ila nimejifunza kitu kimoja katika Thread hii kuwa "ni vyema kujizoesha softwares mbalimbali kuna faida yake na sio kuishi katika Notebook ukitegemea Format za aina moja".
 
ndio najua nachosema Dotworld. Microsoft inaendesha computing world penda usipende. achana na linux na mac.. kama unabisha we sema

Sina shaka wewe ni mtumiaji wa Windows mpaka kwenye damu. Evolution ya OS za sasa nawasikitikia waliozoea OS moja tu. Jaribu kuexperience mapya mkuu. Windows habadiliki lolote, zaidi ya muonekano na Jina (Windows 7 to 8).

Hizo ni myths: Kila OS ni pekee na inajitegemea! Window ni popular ni easy ku HACK. Ndio maana Serves kubwa za sasa sio Windows tena wameshtukia ujanja.

Nakumbuka nilipokuwa natumia windows (7), nilikuwa ninaweza kuhack PC zenye passwords, kutengeneza Virus nitakavyo, kutengeneza programs na kuzitumia kuhack, ila OS nyingine zilinifundisha adabu, lol! Kuhack sio mchezo ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…