Kama unatoka baada ya sex au katikati ya siku zake...(baada ya kumaliza na kabla ya kuipata)
Kuna uwezekano akawa na tatizo kwenye shingo ya kizazi.
Nivizuri ukampeleka hospitali wajue na historia yake na hicho Kijiti kujua kama mwili wake umekubaliana nacho au bado...
Yawezekana bado kijiti hajikaweka mzunguko wake wa hedhi sawa sawa.... Mkawaone wataalamu waliomwekea hicho kijiti na vipimo vingine vichukuliwe....