W wakutomboka Member Joined Mar 11, 2012 Posts 25 Reaction score 4 Apr 28, 2012 #1 Niaje wakubwa, nina nokia n900, kuna jamaa kaingiza password alaf kazisahau, nimejarib kumpelekea fund ili kuformat nimeambiwa kwamba sehemu ya cable imekufa, Je kuna master code zozote ambazo nnaweza kuziingiza? Or any other soln?
Niaje wakubwa, nina nokia n900, kuna jamaa kaingiza password alaf kazisahau, nimejarib kumpelekea fund ili kuformat nimeambiwa kwamba sehemu ya cable imekufa, Je kuna master code zozote ambazo nnaweza kuziingiza? Or any other soln?