Pole sana lakini nenda kwenye maduka makubwa ya vitabu, sina uhakika pale Game na lile duka la Steers kama bado yapo, maana nimejichimbia Makete muda mrefu kwa hiyo sijui habari za huko Dar. Lakini Mimi huwa napata vitabu vyangu kutoka hapa mkuu [ame]http://www.amazon.co.uk/Rich-Dad-Poor-Teach-Middle/dp/0446677450/ref=sr_1_3?ie=UTF8&s=books&qid=1252710425&sr=1-3[/ame]
Just a click baada ya wiki 2 hivi kipo Makete