Entrepreneur95
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 49
Umejuaje kama nasikiliza mimi?Mwanaume kusikiliza taarabu ni dalili za awali za kuwa shoga.
Jinsia Gani Mkuu?Hamjambo?
Kuna hii taarab/wimbo fulani ambapo kuna kipande kinaimba " Nampenda mmoja, nae anajua..... roho zenu mbaya "
au mwenye nao anaweza kuutuma hapa, au kunipa link
asanteni
Mchumba wangu kaniomba nimtaftie huo wimbo,Jinsia Gani Mkuu?
MaleHamjambo?
Kuna hii taarab/wimbo fulani ambapo kuna kipande kinaimba " Nampenda mmoja, nae anajua..... roho zenu mbaya "
au mwenye nao anaweza kuutuma hapa, au kunipa link
asanteni
Haujajibu Swali Mkuu,Mchumba ni General.Mchumba wangu kaniomba nimtaftie huo wimbo,
kuna ubaya wowote?
Kama ni Male,Nampa Benefit of the Doubt kwamba anamtafutia Mchumba wake na si yeye.
Lets hope iwe hivo. Vinginevyo ni hatari sanaKama ni Male,Nampa Benefit of the Doubt kwamba anamtafutia Mchumba wake na si yeye.
Kabisa ni Zaidi ya Hatari.Lets hope iwe hivo. Vinginevyo ni hatari sana
Lets hope iwe hivo. Vinginevyo ni hatari sana
Mambo ya wanawake waachie wanawake utakuja kuvaa pedi siku moja.Umejuaje kama nasikiliza mimi?
Mimi naona mwanamme kudandia mambo yasiyo kuhusu ndio dalili kubwa ya ushoga
a real man must make her lady happy.. sidhani kama kuuliza jina la taarab kwa ajili ya kumtafutia mpenzi wangu hiyo nyimbo ni kosa.Mambo ya wanawake waachie wanawake utakuja kuvaa pedi siku moja.
a real man must make her lady happy.. sidhani kama kuuliza jina la taarab kwa ajili ya kumtafutia mpenzi wangu hiyo nyimbo ni kosa.
Take it easy man, i know the limits.Endelea kumfurahisha, sio mbaya pia ukianza kuziimba pamoja na mpenzi wako huyo ili afurahie zaidi.