Pole sana, Pumu huwa ni ya kuwahi, nenda Agha khan nilitibiwa hapo na nikapona kabisa, watakuanzishia quick relief na badae watakupa controller medicines. Kama upo kwenye acute watakupa dawa zote kwa pamoja quick and control medics.
Utatibiwa inategemea ipo katika stage gani, utapona nenda Agha Khan mkuu.
Pia kwa faida ya wengine Pumu inayoanza tiba yake ni mazoezi aerobic hasa kukimbia usiache ikomae.