jamani mie mbona mtoto wangu wa kwanza nilipomaliza arobaini tu na mzunguko wa blid ulipoanza wa kawaida nikaachia mambo na mtoto hajaharibika/kuchaha wala kuvuruguka.
Aaache kusikiliza hadithi za mabibi fanyeni mkimaliza mkaoge vizuri kabla hamjamshika mtoto.
pole,ndugu kwa tatizo linalo kupata juu ya ndoa yako,1 sijui mtoto huyu mlio mpata ni wangapi,2 kama ni wa 1 basi mkewako anaitaji ushauri wa doctor wake wa clinik,yawezekana ni maneno ya kulishwa na mashoga zake,kwamba mkishiriki tendo la ndoa mtamwaribu,mtoto,sikweli,ila akijifungua anatakiwa akae siku 40 ili njia zake za uke wake,zirudi katika hali ya kawaida,baada ya siku 40,ruksa ninyi kupeana,sasa nawashauri mwone doctor wake wa clink kwa ushauri zaidi,
Hakuna mtoto kuharibika wala nini! Wazazi tunajua haya mambo bana. Cha msingi asijeshika mimba kabla mtoto hajaanza kutembea. Tumieni kinga na kamua kwa kwenda mbele. Ila kama wewe si baba wa huyo mtoto ndio ataharibika.
mwache dada wa watu apumzike jamani . sometimes nyie wanaume u are too selfish mnawaza kujifurahisha nyie tu bila kujali upande wa pili mtu ana hali gani.
jamani mie mbona mtoto wangu wa kwanza nilipomaliza arobaini tu na mzunguko wa blid ulipoanza wa kawaida nikaachia mambo na mtoto hajaharibika/kuchaha wala kuvuruguka.
Aaache kusikiliza hadithi za mabibi fanyeni mkimaliza mkaoge vizuri kabla hamjamshika mtoto.
Nakubaliana na wewe amu, hakuna kitu kama mtoto kubemendwa. Hizi ni fikra potofu zilizopitwa na wakati. Kama una wasiwasi mshirikisheni daktari. Nijuavyo mimi hakuna madhara yoyote mtoto anaweza kupata.