Ngoja nipeleke tangazo lako msikitini maana leo ni ijumaa hutakosa wako. Inshalah
mkuu unataka vigezo gani wakati umeambiwa ni asiwe mlevi wala mpenda vigodoroKila la heri mzee watakuja usijali.. wawekee vigezo
umepewa no apo chini mkuuWeka namba yako ya simu tukupigie
Mungu akujaalie umpate mwenye heri/kheri na wewe,
Umri kabila elimu kazi nkmkuu unataka vigezo gani wakati umeambiwa ni asiwe mlevi wala mpenda vigodoro
Huu ni mtego wa panya, weka na Picha yako ili tukuamini
Aaaah aaaah,aweke picha bwana watoto wamuone!!!Huu ni mtego wa panya, weka na Picha yako ili tukuamini
Weka picha Umeshauriwa na # MKWEPA KODI